• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
MISSENYI DISTRICT COUNCIL
MISSENYI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Missenyi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Kilimo Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Secondari
      • Idara ya Ujenzi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Mipango Takwimu na Uuatiliaji
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Watalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Madiwani
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Kiuchumi
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi ya Uviko19
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Picha mbalimbali

Kilimo

HALMASHAURI ya Wilaya ya Missenyi ipo upande wa kaskazini mashariki wa Mkoa wa Kagera. Wilaya hii ipo kati ya Latitudo 1 o na 3 o kusini ya mstari wa Ikweta na kati ya Longitudo 30 o 45′ na 31 o 19′ mashariki ya mstari wa Greenwich.

Aidha, ipo mita 1,100 juu ya usawa wa bahari. Hali hiyo inafanya wilaya kuwa na misimu miwili ya mvua, yaani vuli ambayo huanza Septemba na kumalizika Desemba na masika ambayo huanza Machi na kufikia tamati Juni.

Kipindi cha Julai hadi mwanzoni mwa Septemba ni kiangazi. Kipupwe huanza Januari hadi Februari. Wilaya hiyo inapakana kwa upande wa mashariki na Ziwa Victoria na upande wa Kusini Wilaya ya Bukoba, magharibi ni Wilaya ya Karagwe na kaskazini ni nchi ya Uganda.

Wastani wa mvua kwa mwaka ni milimita 800 na 1,500 ambazo hufanya mimea kuwa na umbijani kwa mwaka mzima. Ipo mito mikubwa miwili ya Kagera na Ngono, wilaya inayo ardhi ya vilima na mabonde yenye mito na matingatinga hasa kuelekea Mto Kagera. 

Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi ina ukubwa wa kilometa za mraba 2,708.75, eneo linalofaa kwa kilimo ni hekta 99,726 na zinazolimwa ni 58,840 sawa na asilimia 59 ya eneo linalofaa kwa kilimo.

Tarifa Kwa Umma

  • MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI KUFANYIKA TAREHE 01/12/2021 November 25, 2021
  • KUITWA KWENYE USAILI October 22, 2021
  • MATOKEO DARASA LA SABA 2021 November 02, 2021
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MUDA August 04, 2021
  • Tazama zote

Habari mpya

  • WAJUMBE WA KAMATI, BODI NA WALIMU WAKUU WAPATIWA MAFUNZO YA UTAWALA BORA KASSAMBYA

    April 29, 2022
  • WATOTO 46,567 KUPEWA CHANJO YA POLIO WILAYANI MISSENYI

    April 21, 2022
  • TEGAMAISHO ARIDHISHWA NA KASI YA UJENZI WA HOSPITAL YA WILAYA

    April 14, 2022
  • MWAKA MMOJA WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN BILIONI 6.6 ZAPOKELEWA NA KUTUMIKA MISSENYI

    March 22, 2022
  • Tazama zote

Video

Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Mkoa Kagera
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Serikali Kuu
  • Tovuti ya TAMISEMI

Watembeleaji walipo

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Anuani zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki @2017 Wilaya ya Missenyi. Haki zote zimehifadhiwa