• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
MISSENYI DISTRICT COUNCIL
MISSENYI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Missenyi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni na Vitengo
      • Divisheni
        • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
        • Divisheni ya Elimu Sekondari
        • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • Divisheni ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
        • Divisheni ya Utawala na Usimamizi Rasilimali Watu
        • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
        • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
        • Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
        • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Vitengo
        • Kitengo cha Sanaa, Utamaduni na Michezo
        • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
        • Kitengo cha Huduma za Kisheria
        • Kitengo cha TEHAMA
        • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Kitengo cha Huduma za Manunuzi
        • Kitengo cha Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
    • Tarafa
      • Tarafa ya Missenyi
        • Kata ya Mutukula
        • Kata ya Minziro
        • Kata ya Nsunga
        • Kata ya Kakunyu
        • Kata ya Kassambya
        • Kata ya Kyaka
        • Kata ya Mushasha
        • Kata ya Kilimilile
        • Kata ya Mabale
        • Kata ya Bugorora
      • Tarafa ya Kiziba
        • Kata ya Bugandika
        • Kata ya Kitobo
        • Kata ya Buyango
        • Kata ya Ruzinga
        • Kata ya Bwanjai
        • Kata ya Gera
        • Kata ya Ishozi
        • Kata ya Ishunju
        • Kata ya Kanyigo
        • Kata ya Kashenye
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Kiuchumi
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha

HIZI NDIO MADA ZILIZOJADILIWA NA WADAU MBALIMBALI WIKI YA UWEKEZAJI KAGERA

Posted on: August 16th, 2019

Wiki ya uwekezaji Kagera ilizinduliwa rasmi siku ya tarehe 14-08-2019 katika viwanja vya Gymkana manispaa ya Bukoba.  Mh Kassim Majaliwa  waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa ndiye mgeni rasmi wa kongamano la wiki ya kagera amezindua pia kitabu cha mwongozo wa uwekezaji Kagera.

Wadau, wawekezaji na wafanyabiashara mbalimbali katika kongamano walijadili mada mbalimbali zinazohusu fursa za uwekezaji kwa kuzichambua kwa undani zaidi.

Katika kongamano hilo, jumla ya mada nane zimejadiliwa na wataalam kutoka Sekta mbalimbali za umma na Sekta binafsi huku majadiliano yakilenga namna bora ya kuondoa vikwazo mbali mbali katika uwekezaji ili kuinua uchumi wa mkoa wa Kagera.

Mada mbalimbali zilizowasilishwa na kujadiliwa na wadau mbalimbali ni pamoja na:-

Mazingira ya jumla ya kibiashara na jukumu la mamlaka za kisheria katika kusaidia uwekezaji, Pili; Mkoa wa kagera kama kitovu cha biashara katika nchi za Afrika Mashariki na Kati (Biashara za Mipakani), Tatu, Kutumia fursa za uwekezaji Kagera katika sekta za kilimo, mifugo, uvuvi na Viwanda, Tano; Ni namna gani changamoto ya lishe katika mkoa wa Kagera

Mada  nyingine zilizojadiliwa ni pamoja na; Ni namna gani fursa za utalii ambazo hazijatumika izinaweza kutumika katika uwekezaji kwenye mkoa wa Kagera, sita; Nafasi ya huduma za kijamii kwa ukuaji wa uchumi wa mkoa wa Kagera, saba huduma za kifedha kama kichocheo cha uwekezaji na mada ya mwisho ni ujue Mkoa wa Kagera iliyotolewa na Askofu Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba Method Kilaini.

Mara baada ya mada hizo kujadiliwa, Wafanyabiasha kutoka nchi za Rwanda na Burundi walipata nafasi ya kukutana Wafanyabiashara wa Mkoa wa Kagera na kuwa na mazungumzo ya kibiashara.

Wiki ya Uwekezaji Kagera inatarajiwa Kufungwa rasmi tarehe leo tarehe 16/08/2019 huku maonyesho ya fursa mbalimbali yakiendelea hadi Jumapili ya tarehe 19-08-2019.

Tarifa Kwa Umma

  • TAARIFA KWA UMMA JUU YA UFAFANUZI WA TAARIFA INAYOSAMBAA MITANDAONI KUHUSU BAADHI YA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI WILAYANI MISSENYI KUWAAGIZA WANAFUNZI VYUMA CHAKAVU June 03, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA JUU YA MAPOKEZI YA SHILINGI MILIONI 445 MWEZI MEI KUTOKA SERIKALI KUU May 13, 2025
  • JIMBO LA NKENGE LIMEFANIKIWA KUBADILISHWA JINA RASMI NA KUWA JIMBO LA MISSENYI. May 12, 2025
  • TANGAZO LA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA WILAYANI MISSENYI April 14, 2025
  • Tazama zote

Habari mpya

  • NGO's ZAASWA KUTOKUKUBALIANA NA MASHARTI MAGUMU YA WAFADHILI

    June 26, 2025
  • MISSENYI YATIA SAINI MKATABA WA UJENZI SOKO LA KISASA BUNAZI

    June 20, 2025
  • MISSENYI YAPATA HATI SAFI MIAKA 10 MFULULIZO

    June 17, 2025
  • PONGEZI NA TUZO ZATOLEWA KWA WALIMU, SHULE NA KATA KWA UFAULU MWAKA 2024

    June 05, 2025
  • Tazama zote

Video

TUMEPATA HATI SAFI, TUJIPONGEZE
Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Mkoa Kagera
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Serikali Kuu
  • Tovuti ya TAMISEMI

Watembeleaji walipo

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

    Sanduku la Posta: 38 Kyaka - MISSENYI

    Namba ya Simu ya mezani: +255 28 298 2836

    Namba ya simu : +255 28 298 2836

    Barua pepe: ded@missenyidc.go.tz

Anuani zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki @2017 Wilaya ya Missenyi. Haki zote zimehifadhiwa