• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
MISSENYI DISTRICT COUNCIL
MISSENYI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Missenyi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Kilimo Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Secondari
      • Idara ya Ujenzi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Mipango Takwimu na Uuatiliaji
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Watalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Madiwani
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Kiuchumi
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Picha mbalimbali

TSH.MILIONI 139.2 ZATOLEWA KWA MAKUNDI YA VIJANA WANAWAKE NA WALEMAVU

Posted on: March 9th, 2021

Halmashauri ya Wilaya Missenyi imetoa mikopo isiyo na riba kiasi cha shilingi milioni 139.2 kwa  vikundi vya wajasiriamali 27

Zoezi lakukabidhi mikopo hiyo limefanyika leo jumanne tarehe 09/03/2021 wakati wa Mkutano wa Baraza Maalum la Madiwani kwa ajili ya kujadili Mpango na Bajeti kwa mwaka wa fedha 2021/2022

Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya jamii halmashauri ya Missenyi Beatrice Sanga amesema kuwa kiasi cha shilingi 139,200,000/= kimekopeshwa kwa vikundi 27 ikiwa vikundi 14 ni vya wanawake milioni 61, vikundi 12 ni vya vijana waliokopeshwa milioni 75.2 na kikundi 1 cha watu wenye ulemavu waliokopeshwa  shilingi milioni 3

Bi Beatrice amesema kwa mwaka wa fedha 2020/2021 halmashauri ilipanga kutoa mikopo yenye thamani ya shilingi milioni 245 asilimia 10 ya mapato yake ya ndani nakuwa kufikia leo imeshatoa kiasi cha shilingi milioni 205.5

Baada yakukabidhi mikopo hiyo iliyohusisha pikipiki na fedha, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya Missenyi Projestus Tegamaisho amevitaka vikundi vilivyokopeshwa kuhakikisha vinatumia fedha kwa malengo yaliyokusudiwa nakurejesha kwa wakati

"Moja ya tatizo tulilo nalo vikundi vingi vinakuwa na furaha wakati wakupokea lakini mnakuwa na matatizo wakati wa urejeshaji mpaka tunalazimika kuwatafuta kwa nguvu siyo tabia nzuri.Fedha tulizowapa zitumieni kama mlivyoomba msibadilishe matumizi tutakuja kuwakagua"amesema Tegamaisho

Kaimu Mkuu wa Wilaya Missenyi Godfrey Mheluka ameipongeza halmashauri kwakutelekeza matakwa ya kisheria nakuwataka waliokopeshwa kutumia vizuri fedha walizokopeshwa ziwasaidie kuwainua Kiuchumi Kama ilivyo dhamira ya serikali ya awamu ya tano ya Rais John Pombe Magufuli

"Fedha mlizopewa vsiyo zawadi ni za mzunguko zitumieni vizuri na mzirejeshe kwa wakati ili na wengine wakope.Nyie vijana msizitumie kuoa au kuongeza mke wa pili tunataka mjenge Uchumi wenu uendane na Tanzania iliyofikia Uchumi wa Kati" amesema Mheluka

Taarifa kwa hisani ya Respicius John RK

Tarifa Kwa Umma

  • MATOKEO KIDATO CHA NNE 2020 January 16, 2021
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA September 21, 2020
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI April 01, 2021
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2021 MISSENYI December 19, 2020
  • Tazama zote

Habari mpya

  • TSH.MILIONI 139.2 ZATOLEWA KWA MAKUNDI YA VIJANA WANAWAKE NA WALEMAVU

    March 09, 2021
  • WILAYA YA MISSENYI YAPOKEA SETI ZA VITI NA MEZA 100 KUTOKA BENKI YA MAENDELEO TIB

    February 09, 2021
  • HALMASHAURI YATOA MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI KWA SHULE ZA SEKONDARI

    January 25, 2021
  • HALMASHAURI YATOA MKOPO WA TSH. 92,150,000.00 KWA VIKUNDI 15 VYA VIJANA NA WANAWAKE

    October 23, 2020
  • Tazama zote

Video

Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Mkoa Kagera
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Serikali Kuu
  • Tovuti ya TAMISEMI

Watembeleaji walipo

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Anuani zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki @2017 Wilaya ya Missenyi. Haki zote zimehifadhiwa