• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
MISSENYI DISTRICT COUNCIL
MISSENYI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Missenyi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Kilimo Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Secondari
      • Idara ya Ujenzi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Mipango Takwimu na Uuatiliaji
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Watalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Madiwani
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Kiuchumi
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Picha mbalimbali

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

01 April 2021

TANGAZO LA KAZI

 

Mkurugenzi  Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi alipokea kibali cha  Ajira Mbadala, kibali chenye Kumb. FA.170/368/01’B’/53 cha tarehe 08 Februari, 2021 kwa ajili ya  kuajiri Watendaji wa Kijiji III nafasi (2)

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi wazi za kazi 2 kwa kada iliyoainishwa hapa chini.

MTENDAJI WA KIJIJI (VILLAGE EXECUTIVE ) DARAJA III NAFASI 2

  • MAJUKUMU YA KAZI
  • Mtendaji na mshauri wa Halmashauri ya Kijiji na Kamati zake katika mipango ya maendeleo ya kijamii na utekelezaji wa mpango ya maendeleo.
  • Kusimamia ulinzi na Usalama wa Raia na mali zao, kuwa mlizi wa amani na msimamizi wa utawala bora katika Kijiji.
  • Afisa masuhuli  na Mtendaji Mkuu wa Serikali ya Kijiji na atakayesimamia mapato na matumizi ya Halmashauri ya Kijiji.
  • Kuratibu na kusimamia upangaji wa utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya Kijiji.
  • Katibu wa Kamti ya Halmashauri  ya Kijiji.
  • Kutafsiri Sera, Utaratibu na kusimamia utekelezaji wa sheria ndogongogo za Halmashauri katika Kijiji.
  • Kusimamia na kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote na nyaraka za Kijiji.
    • Kuongoza vikao  vya maendeleo ya kijiji vitakavyohusisha  wananchi na wataalam waliopo kwenye eneo lake.
    • Kuhamasisha wananchi katika mikakati mbalimbali ya kuondoa njaa.
    • Kusimamia matumizi bora ya nguvu kazi.
    • Kuratibu na kuandaa taarifa za utekelezaji  wa kazi katika kijiji chake na kuziwasilisha kwenye Kata.
    • Kutekeleza shughuli nyingine atakazopangiwa na mwajiri.
    • SIFA ZA MWOMBAJI
    • Kuajiriwa mwenye Elimu ya kidato cha nne au sita aliyehitimu mafunzo  ya astashahada /cheti NTA LEVEL 5 katika moja ya fani zifuatazo:- Utawala, Sheria, Elimu ya Jamii, usimamizi wa fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa katika Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo- Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali,
    • MSHAHARA
    • Kwa kuzingatia ngazi za mishahara ya Serikali TGS B
    • MASHARTI YA JUMLA KWA WAOMBAJI WOTE WA KAZI
    • Mwombaji awe raia wa Tanzania mwenye umri usiozidi miaka 45.
    • Mwombaji aambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed C.V)  yenye anwani na namba za simu zinazopatikana pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika.
    • Mwombaji aambatishe cheti cha kuzaliwa.
    • Barua ya maombi iandikwe kwa mkono.
    • Maombi yote yaambatane na cheti cha taaluma, maelezo, na nakala za vyeti vya kidato cha nne na kidato cha sita kwa wale waliofikia kiwango hicho vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingaia sifa za kazi husika.
    • Certificates.
    • Cheti cha mtihani wa kidato cha IV na VI
    • Computer Certificate
    • Vyeti vya kitaaluma (Professional Certificates from respective board)
    • Picha moja “Passport size” ya hivi karibuni.
    • Testimonials “provisional results” results slips “, kiapo cha kuthibitisha umri wa kuzaliwa HAVITAKUBALIWA.
    • Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (TCU au NECTA).
    • Waombaji wa Nafasi za Ajira waliostaafishwa/ kuacha kazi katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wanakibali cha Katibu Mkuu kiongozi.
    • Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kughushi wahusika watachukuliw ahatua za kisheria.
    • Waombaji kazi ambao tayari ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko katika Utumishi wa Umma wasiombe na wanatakiwa kuzingatia maelezo yaliyo katika Waraka Na. CAC.45/257/01/D/140 wa tarehe 30 Novemba, 2010.
    • Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 20/04/2021 saa 9:30 alasiri.
    • Maombi yatakaowasilishwa nje ya utaratibu ulioainishwa katika tangazo hili hayatafikiriwa.
    • Maombi yote yatumwe kwa njia ya posta kupitia anuani ifuatayo:-
  • Mkurugenzi mtendaji wa Wilaya,

    Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi,

    S.L.P 38,

    KYAKA- MISSENYI.

    LIMETOLEA NA: 






  • Nakala        :  Mbao za Matangazo
                       :  Tovuti ya Halmashauri www.missenyidc.go.tz
                       :  Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira www.ajira.go.tz

Tarifa Kwa Umma

  • MATOKEO KIDATO CHA NNE 2020 January 16, 2021
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA September 21, 2020
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI April 01, 2021
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2021 MISSENYI December 19, 2020
  • Tazama zote

Habari mpya

  • TSH.MILIONI 139.2 ZATOLEWA KWA MAKUNDI YA VIJANA WANAWAKE NA WALEMAVU

    March 09, 2021
  • WILAYA YA MISSENYI YAPOKEA SETI ZA VITI NA MEZA 100 KUTOKA BENKI YA MAENDELEO TIB

    February 09, 2021
  • HALMASHAURI YATOA MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI KWA SHULE ZA SEKONDARI

    January 25, 2021
  • HALMASHAURI YATOA MKOPO WA TSH. 92,150,000.00 KWA VIKUNDI 15 VYA VIJANA NA WANAWAKE

    October 23, 2020
  • Tazama zote

Video

Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Mkoa Kagera
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Serikali Kuu
  • Tovuti ya TAMISEMI

Watembeleaji walipo

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Anuani zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki @2017 Wilaya ya Missenyi. Haki zote zimehifadhiwa