• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
MISSENYI DISTRICT COUNCIL
MISSENYI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Missenyi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Kilimo Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Secondari
      • Idara ya Ujenzi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Mipango Takwimu na Uuatiliaji
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Watalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Madiwani
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Kiuchumi
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti ukimwi
    • Ratiba
  • Miradi
    • Itakayo Tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Picha mbalimbali

Idara ya Kilimo Ushirika na Umwagiliaji

SHUGHULI ZINAZOTEKELEZWA

  • Kutoa mafunzo ya kanuni bora za kilimo kwa wakulima ikiwemo upandaji kwa nafasi na kwa wakati, matumizi ya pembejeo, zana na teknolojia za kisasa, teknolojia za umwagiliaji na kilimo hai. Mafunzo haya yanatolewa kwa njia mbalimbali ikiwemo mihadhara, mijadala, mashamba darasa, mashamba ya mfano na ziara za mafunzo kwa mtu mmojammoja  vikundi na kwenye mikutano.
  • Kutoa mafunzo ya matumizi bora ya ardhi kwenye maeneo ya kilimo kwa kupanga na kugawa matumizi ya ardhi kwa shughuli mbalimbali ikiwemo kuongeza uzalishaji kwa eneo
  • Kutoa taarifa mbalimbali zinazohusu sekta ya kilimo, mfano ni wapi pembejeo zinapatikana, hali ya masoko, uwezesho wa kifedha na hata mashirika yanayowasaidia wakulima kupata mahitaji yao mbalimbali
  • Kuwasaidia wakulima kuanzisha na kutunza vitalu vya mbegu za mboga na matunda kwa ajili ya kukuza mazao ya bustani
  • Kufanya maonesho mbalimbali katika ngazi za mitaa na kata kupitia siku za wakulima, na hata ngazi ya wilaya kupitia maonesho ya nanenane.
  • Kutoa mafunzo ya hifadhi ya mazao ya kilimo kwa kuzingatia viwango vinavyohitajika na matumizi ya viuatilifu vya mazao ya kilimo ghalani
  • Kuwatembelea wakulima, kuona changamoto wanazokutana nazo na  kutoa ushauri wa jinsi ya kutatua changamoto hizo.
  • Kutoa tuzo na zawadi mbalimbali kwa wakulima ili kuwahamasisha wenzao kupenda kufanya vizuri zaidi. Hii inaleta ushindani ambao hatimae unasababisha ongezeko la uzalishaji kwa ujumla

JINSI HUDUMA ZINAVYOPATIKANA

Huduma hizi hutolewa ndani ya Manispaa kwa njia zifuatazo

  • Kupata ushauri wa moja kwa moja toka ofisi ya Kilimo, Umwagiliaji na ushirika katika Manispaa
  • Kupata ushauri wa ana kwa ana toka kwa wataalam wa wilayani, katani au kwenye mtaa katika shamba la mkulima
  • Kupata ushauri toka ofisi ya kata au ya mtaa
  • Mafunzo kwa njia ya mikutano ( warsha na semina mbalimbali)
  • Mafunzo kwa njia ya vikundi kuongea na vikundi
  • Mafunzo kwa njia ya kujisomea kupitia kituo cha mafunzo kilichopo Sangabuye (kituo hiki bado hakijaanza kutokana na ukosefu wa machapisho)
  • Ziara za mafunzo
  • Mafunzo kupitia maonesho mbalimbali ngazi ya mtaa, kata, na wilaya wakati wa siku ya wakulima nanenane

Tarifa Kwa Umma

  • MATOKEO KIDATO CHA NNE 2020 January 16, 2021
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA September 21, 2020
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2021 MISSENYI December 19, 2020
  • MATOKEO KIDATO CHA SITA 2019 July 09, 2019
  • Tazama zote

Habari mpya

  • WILAYA YA MISSENYI YAPOKEA SETI ZA VITI NA MEZA 100 KUTOKA BENKI YA MAENDELEO TIB

    February 09, 2021
  • HALMASHAURI YATOA MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI KWA SHULE ZA SEKONDARI

    January 25, 2021
  • HALMASHAURI YATOA MKOPO WA TSH. 92,150,000.00 KWA VIKUNDI 15 VYA VIJANA NA WANAWAKE

    October 23, 2020
  • TIMU YA MENEJIMENTI YA HALMASHAURI YAKAGUA MIRADI 17 YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA NDANI YA HALMASHAURI

    October 15, 2020
  • Tazama zote

Video

Video nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Sheria ndogo za Halmashauri

Tovuti Muhimu

  • Tovuti ya Mkoa Kagera
  • Tovuti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Serikali Kuu
  • Tovuti ya TAMISEMI

Watembeleaji walipo

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Anuani zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki @2017 Wilaya ya Missenyi. Haki zote zimehifadhiwa